tag:blogger.com,1999:blog-37551417421041693182024-03-05T11:16:18.702-08:00CHIWILEINCwww.chiwileinc.blogspot.comAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.comBlogger1789125tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-633244310204094192017-02-06T05:00:00.001-08:002017-02-06T05:00:12.838-08:00PICTURES - ISON AFANYA LAUNCH YA NANI NILIKOSEA TAPERIA RESTAURANTMastaa kadhaa toka Zanzibar siku walijumuika kwa pamoja kwenye utbulisho wa video ya Ison chini ya label ya stone town records
Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-49443835836356083882017-01-23T14:37:00.002-08:002017-01-23T14:37:32.032-08:00NEW MUSIC - DJ WAIZ FT BABY J & KIJUKUU - SHOBO ROBOAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-46342846671970583712017-01-23T14:34:00.002-08:002017-01-23T14:34:48.915-08:00NEW MUSIC - ABBY MAN FT KING POZZA & ALONEYMAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-63899738437632246792017-01-23T14:32:00.002-08:002017-01-23T14:32:49.191-08:00NEW SONG - WATATU FLEVA - NINI TENAAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-61030652277175387162016-11-18T08:13:00.001-08:002016-11-18T08:13:51.613-08:00PICHA - COVER YA NGOMA MPYA YA KINDE MAKENGELE IKO HAPAMpiga gita maarufu kisiwani Zanzibar kinde makengele ametambulisha cover ya nyimbo yake mpya itakayo toka ivi karibuni
Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-50693704793822973542016-10-19T19:18:00.002-07:002016-10-19T19:18:53.035-07:00NEWS- WATANZANIA WANAOISHI NCHINI UK WAMEFANYA HIKI ILI KUSAIDIA WATU WENYE UALBINO
Jumamosi ya tarehe
15/10 Watanzania wanaoishi Uingereza walifanya hafla kuchangisha fedha kwa wajili ya watu wenye
ulemavu wa ngozi albino,
hafla hiyo iliyofanyika
Stratford City hall, jijini London
ilihudhuriwa na bwana Josephat Toner kutokea
chama cha albino Tanzania,
hafla hiyo ilitayarishwa
na Jumuiya ya watanzania wanao ishi nchini humo Umoja
community &Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-5403658132477767322016-09-21T23:36:00.001-07:002016-09-21T23:37:06.648-07:00MICHEZO - KUELEKEA DAR DERBY OCTOBER 1 KOCHA YANGA AMEONGEA HAYA KOCHA Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi ameanza kupandisha homa ya pambano la watani wao Simba baada ya jana kujinasibu kuondoka na pointi tatu katika mchezo huo utakaochezwa Oktoba Mosi, Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Mwambusi alisema timu yake haipewi nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi kwenye mchezo huo kutokana na kiwango wanachokionesha Simba kwa sasa kwenye mechi za Ligi Kuu lakini Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-17913845253798533142016-09-21T22:44:00.001-07:002016-09-21T22:44:57.471-07:00PICHA - NOMINATION WA MTV MAMA WAKO HAPA Ni Sept 21, 2016 ambapo majina ya wasanii watakaowania tuzo za MTV MAMA 2016 yalitajwa huku Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz na kundi la Navy Kenzo pamoja  na Alikiba ndio wasanii wa Tanzania waliotajwa kuwania tuzo kubwa za Africa za MTV Africa Music Awards 2016.
.
Diamond anawania kipengele kimoja cha Best Male ambacho anachuana na Black Coffee (South Africa), Wizkid (Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-74474853837935659642016-09-21T22:35:00.001-07:002016-09-21T22:35:55.176-07:00NIMEKUSOGEZEA HAPA MAGAZETI YA UDAKU NA MICHEZO September 22 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzaniakuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea
Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-70560233850296181982016-09-21T22:29:00.001-07:002016-09-21T22:29:24.468-07:00PICHA - WANAUME WA JAPANI WAMESOMA KOZI HII ILI KUVUTIA WANAWAKE Najua kuna watu wangu ambao sasa wapo kwenye mchakato wa kuoa au ndio wanatafuta mtu ambaye wataishi nao, lakini inawezekana kumekuwa na changamoto, Sasa leo September 20 2016 nakusogezea hii inayotokea nchini Japan ambapo wanaume ambao bado hawajaoa wanahudhuria kozi ya kulea watoto ili kumvutia mwanamke zaidi.
Bachelor hao wa kijapan wamehudhuria kozi ya kulea watoto ili kuongeza nafasi ya waoAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-11868720323137227172016-09-21T22:26:00.001-07:002016-09-21T22:26:22.764-07:00NEWS - MTEMVU ASHINDWA KESI YA UBUNGE TEMEKE Aliyekuwa Mbunge wa Temeke (CCM) Abbas Mtemvu, ameshindwa kesi ya uchaguzi dhidi ya Abdallah Mtolea(CUF) aliyetangazwa mshindi katika uchaguzi wa Oktoba mwaka jana.
Mtemvu aliyekuwa akitetea kiti hicho katika uchaguzi Mkuu wa mwaka jana alifungua kesi  katika  Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, akipinga matokeo yaliyompa ushindi  Mtolea.
Pamoja na mambo mengine akidai kuwa kura&#Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-84790674735543545152016-09-21T22:23:00.001-07:002016-09-21T22:23:30.512-07:00News wasiokua na uraia wajadiliwe
Tanzania  imeitaka jumuiya ya  kimataifa   kujadili  tatizo  la  uwepo wa watu  ambao si raia wa nchi  yoyote ile.
Pendekezo hilo limetolewa siku ya  Jumanne na Waziri wa Mambo ya Nje na  Ushirikiano wa Afrika Mashariki,  Dkt. Augustine Mahiga ( Mb)    katika  mkutano     wa  Kilele wa  Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-38770081669005105532016-09-06T07:42:00.001-07:002016-09-06T07:42:51.466-07:00CHIWILE INC IS BACK Chiwileinc is Back! Kaa tayari
Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-49979812182815030512016-08-19T11:52:00.001-07:002016-08-19T11:52:43.558-07:00NEWS - Serikali yasisitiza dhamira yake kuhusu ndoa za utotoniAugust 19 2016 Waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto amefanya uzinduzi wa mradi wa kukusanya nguvu za pamoja kulinda haki za wasichana nchini Tanzania awamu ya II jijini Dar es salaam.
Akizungumza katika uzinduzi huo Waziri Mwalimu amesisitiza dhamira ya Serikali ni kuendeleza jitihada za kufanya marekebisho ya sheria ya ndoa ya mwaka 1997, hususan katika kifungu 13 (1) cha Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-32975364796506757902016-08-19T11:45:00.001-07:002016-08-19T11:45:42.548-07:00NEWS - VIPENGELE TUNZO ZA EATV AWARDS VIKO HAPA Vipengele vya tuzo mpya zilizoanzishwa na kituo cha runinga cha East Africa Televisheni, EATV Awards, vimetangazwa Ijumaa hii.
Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio, Mkuu wa masoko wa kituo EATV,Roy Mbowe alisema tuzo hizo zitakuwa na vipengele 10 zitakazohusisha muziki, filamu na tuzo moja ya heshima.
Vipengele hivyo ni:
1. Mwanamuziki bora wa kiume
2. Mwanamuziki bora wa kikeAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-80583647040422948972016-07-28T07:12:00.001-07:002016-07-28T07:12:39.586-07:00RAZA LEE KUMALIZANA NA TAIFA YA JANGOMBE JUMAMOSI SAA 3 ASUBUHI, APANIA KUINUNUA KWA SHS MILIONI 35Mohd Ibrahim “Raza Lee” siku ya Jumamosi ya tarehe 30 July anatarajia kuinunua timu ya Taifa ya Jangombe kwa shs Milioni 35.
Leo Usiku atafunguka LIVE kupitia kituo cha Radio cha Coconut FM 88.9 kwenye kipindi chao cha Coco Sports kuanzia saa 2:00 za usiku.
Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-46226741470305575372016-07-28T07:07:00.001-07:002016-07-28T07:12:24.946-07:00TETESI ZA SOKA ZANZIBAR LEO JULY 28, 2016Adeyum Saleh afagiliwa usajili wake wa kwenda Stand United, Wakala wa Mchezaji mpya wa Stand United Saleh Machupa ambae pia ni baba mzazi wa mchezaji huyo amesema mtoto wake amekwenda timu sahihi na yeye ndio aliemshauri kwenda timu hiyo baada ya kuondoka Coast Union ya Tanga ilioteremka daraja.
Mlinda mlango wa zamani wa timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) Suleiman Hamad ambae kwasasa Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-63910056069790751072016-07-26T07:28:00.001-07:002016-07-28T07:13:49.875-07:00Utafiti- Unajua watu walefu zaidi wanapatikana wapi?Utafiti mpya umeonesha kwamba wanaume wa Uholanzi ndio warefu zaidi duniani, na upande wa wanawake, wanawake wa Latvia ndio warefu zaidi.
Kimo cha wastani kwa wanaume Uholanzi ni futi 6 kwa sasa (sentimeta 183), na kimo cha wastani kwa wanawake wa Latvia ni futi 5 inchi 7 (sentimeta 170).
Utafiti huo, ambao matokeo yake yamechapishwa kwenye jarida la eLife, umefuatilia kimo cha watu na mabadilikoAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-62372700377204086872016-07-25T10:26:00.001-07:002016-07-28T07:12:55.647-07:00News- bila wivu hakuna mapenzi juxMsanii Jux ambaye sasa ni mpenzi wa Vanessa Mdee amefunguka na kusema kuwa wimbo wake mpya 'Wivu' ambao unafanya vizuri kwa sasa hajaimba kwa ajili ya mpenzi wake Vanessa Mdee.
bali ameimba wimbo huo kutokana na hisia kwani jambo hilo linawakuta wengi ambao wanapendana kweli katika mahusiano yao ya kila siku.
Jux akizungumza kwenye kipindi cha ENEWZ ya EATV alidai kwenye mapenzi kama hakuna Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-6369140613680506922016-07-25T04:17:00.001-07:002016-07-28T07:14:47.153-07:00NEWS- watakao sambaza Ky kukionaMASHIRIKA yasiyo ya kiserikali (NGOs) ambayo yatabainika  yanaendelea   kusambaza vilainishi kwa wanaume wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, yatafutiwa usajili.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu aliyaandika hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa ‘facebook’.
Alisisitiza kuwa serikali italisimamia suala hilo kwa ukamilifu.
&#Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-37980605489813344892016-07-24T14:26:00.001-07:002016-07-28T07:15:29.213-07:00News- ngumbe & Salu T kuja na ngoma ya pamojaBaada ya kila mmoja kufanya poa kwenye ngoma zake artist toka lebo ya mandev records  wameamua kuja na muunganiko usio rasmin baada ya kuamua kufanya ngoma ya pamoja.
Wakiongea na chiwileinc Ngumbe amesema lengo ni kuchanganya mziki wa hip hop wenye ladha tofauti
"Unajua Salu t anafanya hardcore Mimi nafanya comecial  tumeona iv vitu tukiviweka pamoja vitaleta kitu tufauti kwa mashabikiAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-12119743886023023702016-07-13T07:07:00.001-07:002016-07-13T07:07:17.787-07:00VIDEO - DIAMOND FT P SQUARE - KIDOGOAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-1505371760495574752016-07-13T06:57:00.000-07:002016-07-13T07:08:04.229-07:00NEW SONG - WISE BOY - KICHEF CHEFAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-49567744938258319282016-06-12T06:11:00.001-07:002016-07-28T07:15:14.466-07:00COVER -JOINT MPYA YA COOLKAKA Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-3755141742104169318.post-2285897813566628232016-05-19T08:00:00.002-07:002016-05-19T08:00:44.778-07:00VIDEO - MAJIBU YA MADEE BAADA YA KUAMBIWA ANATOKA NA SHILOLEAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/16106016810547513377noreply@blogger.com0