Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa mama yake na hayati Michael
Jackson, Katherine hajulikani alipo.
Mtoto wa Michael Paris Jackson amethibitisha taarifa hizo kwa
kutweet, "yes, my grandmother is missing. I haven't spoken with her in a
week I want her home now."
Aliendelea kuandika na
kuwaomba watu ama mamlaka zifuatilie: "the same doctor that testified on
behalf of dr murray saying my father was a drug addict (a lie) is caring for my
grandmother... just saying."
Mwanasheria wa Katherine Jackson ameiambia CNN kuwa
hajaonekana ndani ya saa 24 sasa wala kuwasiliana na wajukuu zake.
No comments:
Post a Comment