Pages - Menu

Tuesday, July 31, 2012

Mk - Nashindwa kuvumilia (Officiall Video)


Anajulikana kama Juma Mkuyuba- Kisanii anatumia Mk a.k.a Mkono Usioigika,, ni Producer ktk studio inayojulikana kama MK RECORDS iliyopo Zanzibar Kisiwani Unguja Yenye Kuhusisha Vichwa vya Lebal kama vile Jobfire Mkali,, Amize,, Sun-Lee Na Mwanadada Neyla.

No comments:

Post a Comment