Hayawi hayawi sasa
yamekuwa, mtangazaji maarufu wa Kipindi cha Jahazi kinachoruka kupitia
Clouds FM Arnold Kayanda, Jumamosi iliyopita October 27, 2012 alifungua
ukurasa mpya katika maisha yake baada ya kufunga ndoa na bibie Anitha,
ndoa iliyofungwa katika kanisa la St. Joseph Dar es salaam, na baadae
sherehe ilifuata Karimjee Hall.
Jionee picha kumi za tukio hilo.
Picha kwa hisani ya millardayo.com
Hongera sana Arnold Kayanda, chiwileinc nawatakia maisha ya ndoa yenye furaha na Amani wewe na mkeo Anitha.
No comments:
Post a Comment