Unajua
Binadamu tunahitaji FURAHA siku Zoote za UHAI na Maisha yetu Hapa
Duniani, JapokuwaWakati Mwinginehatuwezi KUIEPUKA HUZUNI. Nakumbuka
LIFESTYLE ya pale Chuoni Royal College Alikuwa Mcheshi, Mzungumzaji,
Anayependa Watu, Aliyependa Kujichanganya na Watu wa Jinsi zote! Pole
zangu Kwa Wanafunzi woote Wa Cha Royal College of Tanzania (RCT), Ndugu Jamaa na Familia ya Lulu Oscar We Will Miss U Ever! — with Iddy Harnaa Mkwama and 21 others.
Happy SeverineDu
Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema, peponi, my loving one
nakukumbuka sana tukiwa pale Royal, ila Mungu amekupenda sana kuliko
sisi, pumzika kwa amani
Sina
la kuongea jamani ila ni rafiki wa muda mrefu sana na tumepitia mengi
kwa pamoja.tumeishi nyumba moja na kufanya kazi pamoja..bado siamini
kama umeondoka,gone too soon Lulu Oscar dear!! Inallilah wainailah rajiun..
Nora RowlandJamani
huyu dada apumzike kwa amani I met her once akiwa na rafiki yangu
mwenge then tukashinda wote mwenge I just knew her name alikua na utani
we laughed all day...apumzike kwa amani
lulu
i will always remember u my frend,ila mungu amekupenda zaidi,R.I.P lulu
oscar,roho imeniuma sana kuondoka kwako sema sina cha kufanya bwana
ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe
No comments:
Post a Comment