Pages - Menu

Tuesday, January 8, 2013

OMARY OMARY AFARIKI DUNIA

MSANII nyota wa miondoko ya Mnanda 'Mchiriku', Omar Omar, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mrefu. Omar Omar aliyetamba na nyimbo mbalimbali ukiwemo ule maarufu wa 'Kupata ni Majaliwa amefariki leo kwa maelezo ya dada wa marehemu Omary alikua anaugua TB kwa mda mlefu ila ilikua anaelekea kupuna adi juzi alipoanza kugua malaria ambayo yamechukua Uhai wake,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,   R.I.P Brother

No comments:

Post a Comment