,
The True Boy Nay wa
Mitego wakati tukishoot video ya New Hit Song yake
akiwa
amenishirikisha humo
ndani..! Namshukuru Mungu kwa uwezo wake kufaikisha
mipango yote ya location kwenda saawia kabisa na
kufanya wepesi kwa kila jambo.....pia
bebez kali zote za town walishow love kufika na
ballerz walionesha ushirikiano....!!
Napenda Pia kuushukuru Uongozi mzima
wa New
Africa Hotel.....kwa
location ya casino.....pia na uongozi mzima na wafanyakazi
wa
New Africa hotel
upande wa Casino....!! video ilianzia hapa new africa hotel na
kumalizikia
Sinza uwanja wa
kinesi kwa upande wa Mkong'oto Jazz Band walipoonesha umahiri wao kuchora
Graphics..... Production ikiwa imesimamiwa na The
Bigdaddy Adam Juma chini ya NEXT LEVEL
Zifuatazo ni Picha Mbalimbali
za Location ya video shooting ya Muziki
Gani... |
No comments:
Post a Comment