Hakika
kila mmoja wetu ataonja mauti, Bi Fatma Binti Baraka (Bi Kidude)
amefariki duani mchana huu kwa mujibu mwa taarifa kutoka na
kuthibitishwa ndani ya familia yake Bw. Baraka amesema kwamba Bi Kidude
hatunaye tena duniani. Mwenyeenzi Mungu amlaze mahali pema peponi
inshallah
No comments:
Post a Comment