![]() |
| Hakika Ngwair alikuwa ni mtu wa watu,hawa wote waliacha shugri zao ili tu angalau wapate fulsa ya kuuona mwili wake kwa mara ya mwisho........ |
![]() |
| Watoa huduma ya kwanza toka chama cha msalaba mwekundu walikuwepo kuhakikisha wanatoa huduma sitahili kwa lolote litakalojitokeza kulingana na umati wa watu kuwa mkubwa |





No comments:
Post a Comment