Pages - Menu

Monday, July 15, 2013

AWANGALIA PICHA ZA WANAJESHI WALIOKUFA KATIKA MAPAMBANO NA WAASI DARFUR SUDANI



Askari hao waliokufa ambao walikuwa kwenye vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa huko nchini Sudan ni :-
1. Sajenti Shaibu Othuman, 
2. Koplo Oswald Chaula, 
3. Koplo Mohamed Juma, 
4. Koplo Mohamed Chikilizo, 
5. Pte. Rodney Ndunguru, 
6. Pte. Peter Werema,
7. Pte. Fortunatus Msofe.

No comments:

Post a Comment