Siku hiyo atakuwepo Director wa filamu hiyo
JACKSON KABIRIGI, atakuwepo
TIMOTH CONRAD pia watakuwepo wasanii walio shiriki katika filamu hiyo akiwepo
DOKII aliye shiriki kama NUNI,
RADO aliye shiriki kama LUBOA, HISANI MUYA AU
TINO aliye shiriki kama LUMO,
LUMOLWE MATOVOLWA aliye shiriki kama MZEE NJIMBA,
MZEE MASINDE aliye shiriki kama MZEE KONDO.
No comments:
Post a Comment