ISMAIL WA KICHEFU CHEFU ALELEZEA MIPANGO YAKE BAADA YA KUJITOA KWENYE KUNDI LA WAVANILLA
SAUTI TAMU ni project yangu mpya ambayo itaweza kuleta
mabadiliko yanayoanza kutokea katika music , project hii itakuwa na
member wasiozidi watano , orodha hyo MSANII ni Peke yangu (smile),
WASOMI Ambao ni washauri wangu Watatu 3 ,Pamoja na manegemant yangu ..
Kwa hyo naomba suport zenu wananchi ili 2weze kufikia sehemu nzuri kama
walizofikia wenze2 .nawapenda sana AHSANTENI SANA.
No comments:
Post a Comment