Pages - Menu

Saturday, July 6, 2013

KING POZZA AMTOA LEAH SIMBA

HUYU DEM NDIO MALA YAKE YA KWANZA KUINGIA STUDIO ILA ALIKUWA ANAPENDA SANA MZIKI SINCE KITAMBO NA ALIKUWA AKINITAFUTA SANA KWENYE SIMU ,BINAFSI NILIKUWA SIMJUI NIKAWA NAMPIGA KARENDA KILA SIKU UKAPITA KAMA MWAKA AKAWA BADO ANANISUMBUA NDIO NIKAKUBALI KUKUTANANAE NA KUMSIKILIZA NIKAGUNDUA KUMBE NI MGODI UNAOTEMBEA MCHANGANI,TUKAPIGA COLABO SAFI

No comments:

Post a Comment