Aimezaliwa tarehe 8/12/1987 hospital ya bumbuli wilaya ya lushoto
mkoa wa tanga jina lake kamili ni william godson jeremiah anafanya kazi kama soloartst pia yuko kwenye Band ya HAKUNA MATATA BAND, chini ya mkongwe jumanne malembeka
Unaweza ku chat na wigo hapa www.facebook.com/william.godson.3?fref=ts
sikiliza moja ya kazi zake hii hapa

No comments:
Post a Comment