Pages - Menu

Sunday, July 14, 2013

UNAMKUMBUKA AMINA ALIE IMBA CORUS KWENYE NGOMA YA SHAREEZY MY ONLY?

 

Unamkumbuka Amina ambae alifanya poa kupitia ngoma ya Shareezy My only mzigo uligongwa jupiter records chini ya producer Aloneym ameonyesha tena uwezo wake akiwa na mkali toka Octopizzo kwenye ngoma inayo kwenda kwa jina la Swag so kama ulidhani anabahatisha utakua umekosea sana,

check hii Video hapo chini                                                                 

u

No comments:

Post a Comment