Mahakama ya Kempton ya jijini Johannesburg,nchini Afrika Kusini
imemwachia huru mrembo huyo baada ya kulipa faini ya R30,000 ambazo ni
sawa na shilingi milioni 4.8 za kibongo kwa kosa la kubeba kemikali
zinazotumika kutengeneza dawa za kulevya. Wameachiwa huru baada ya
kuonekana kuwa hawakubeba dawa za kulevya kama ilivyoripotiwa
awali,bali kemikali aina ya ephedrine.so masogange na mdogo wake melisa
wamerudi uraiani
No comments:
Post a Comment