Pages - Menu

Tuesday, September 17, 2013

Mwanamuziki Ahmed Mgeni afariki dunia

Mwanamuziki wa taarabu wa kundi la Zanzibar Njema Ahmed Mgeni amefariki usiku wa kuamkia leo Hospital mnazi mmoja huko Zanzibar.
Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kifua muda mrefu.Msiba uko Amani fresh Zanzibar ambapo ni kwa baba yake na atazikwa leo saa kumi jioni.

Marehemu aliwahi kutamba na nyimbo nyingi ikiwemo sitetereki inayofanya vizuri mpaka sasa.Mamu Africa blog inatoa pole kwa familia na mashabiki wote wa Ahmed Mgeni..mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Inallilah waina illah rajiuni.

No comments:

Post a Comment