Pages - Menu

Wednesday, September 18, 2013

PICHA YA ROMA MKATOLIKI AKIWA DARASA LA 3

Enzi hizo Rapper Roma Mkatoliki akiwa Darasa la tatu shule ya msingi Bomba iliyopo mkoani Tanga.

Swali kati ya wanafunzi hawa watatu unaweza ukatuambia Roma ni yupi?,shiriki nafasi jibu lako kupitia ukurasa wetu.

No comments:

Post a Comment