Wasanii wakubwa kutoka
East Africa na Africa, Diamond Platnumz, MwanaFA na Jose Chameleone
waendelea ku-support wahanga wa shambulizi la wanajeshi wa Al-Shabaab
kupitia kampeni ya WE ARE ONE #BadilishaProfile kwa kubadili profile
pictures zao katika mtandao wa kijamii wa twitter MwanaFA, Jose
Chameleone, Huddah, Lameck Ditto na wengineo … Wakati huo huo, watu
wameanza kuitwa kufuata magari yao katika PARKING walipokuwa wameyaacha
kutokana na mashambulizi …
Tukio hilo la WESTGATE jijini Nairobi, linasemekana kupoteza zaidi ya raia 63 nchini humo … See the artists accounts …



No comments:
Post a Comment