Fid q
alishawahi kuniambia kuwa kwenye wimbo moja wa Nikki Mbishi unaweza
kupata nyimbo kumi za rap hapa bongo, Ni msanii mwenye uwezo mkubwa wa
kuandika na kufanya good hiphop. Mixtape yake mpya imetoka na tayari
produce mkubwa Tanzania ameisikiliza na kutoa comment yake. "Loving this
kids talent"
No comments:
Post a Comment