Linex
mkali kutoka Kigoma kesho anatarajia kuionyesha kwa Watanzania video
yake mpya “Kimugina” pale Ambassadors lounge ambapo hizi hapa ni picha
kutoka kwenye baadhi ya scenes za video ya wimbo huo.Ameongea na millardayo.com na kusema “Kesho kwenye uzinduzi wa video ya Kimugina kutakuwa na red carpet pamoja na show nzima kusimamiwa na Irene Uwoya na Kajala, Wema Sepetu na mastaa wengine wa bongomovie watafika siku hiyo pia watakaonisindikiza ni Barnaba boy, Chid Benz na wengine’








na millardayo.com
No comments:
Post a Comment