NISHAOMBA
SANA MDAHALO NA HAO WASANII WENU MNAOWAITA HIP HOP,LAKINI NAONA KIMYA
MPAKA LEO,HIVI NEY WA MITEGO AKIWA HIP HOP NA RAKIM NAE ANAKUA
NANI?MNATAKA TUONGEEE ILI MTUITE WABISHI AU KAMA GENERAL ULIMWENGU
ALIVYOAMBIWA SIO RAIA?NASH EMCEE SAID KUBENEA!
No comments:
Post a Comment