CHIWILEINC

www.chiwileinc.blogspot.com

Pages - Menu

▼

Tuesday, January 29, 2013

Amos Rude Rodgers afunguka kupitia Facebook

#naulizwa sana kwenye mitandao ya kijamii,kwenye simu,hata mtaani kuhusu ujio baada ya TAFAKARI MISTARI kitu gani kinafata,..napenda kuwajibu na kuwajulisha mashabiki wangu pande zote za TANZANIA na dunia kwa ujumla,tayari nshafanya ngoma chini ya KAZAWAZA RECORD prod akiwa ni K-Z, itakayokuja kusumbua mara 100% km TAFAKARI MISTARI au zaidi itatoka mwez wa pili mwanzon,nawaomba mashabiki na wadau wa muziki waendelee kunisuport..ASANTENI

Unknown at 7:30 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.