Pages - Menu

Sunday, January 20, 2013

New Track: kundi la Unique Sisters lavunja ukimya,

Baada ya kimya cha muda mrefu, kina dada watatu ndugu wanaofahamika kama UNIQUE SISTERS, wamerejea na kuvunja ukimya. Sikiliza na download wimbo wao mpya CLUB BANGER.

No comments:

Post a Comment