Pages - Menu

Sunday, January 20, 2013

Picha: Shakira anavyoonekana sasa na mimba yake.

Belly Don't Lie 'Hip do't lie' hit maker Shakira mwenye miaka 35 wiki hii alitweet picha zinaoonesha alivyo sasa na mimba yake huko katika mitaa ya Barcelona.

Mrembo huyu kutoka Colombia baadae alitweet picha nyingine akiwa ameliachia tumbo wazi na pembeni yake akiwa na mzazi mwenzie Gerard Pique.

Shakira na baba wa mtoto wake mtarajiwa

No comments:

Post a Comment