Mmoja
ya wasanii waasisi wa kundi la Wanaume Halisi Baraka Masale au "BK"
amefariki dunia leo katika hospitali ya Muhimbili. BK alikuwa
akisumbuliwa na maradhi ya tumbo kwa muda mrefu. Tunawapa pole ndugu,
jamaa, marafiki na mashabiki wote wa BK kwa msiba huu. Hakika bongofleva
imepoteza moja ya wanamuziki wazuri.
No comments:
Post a Comment