Pages - Menu

Wednesday, February 27, 2013

UZINDUZI WA VIDEO YA NICHEKECHE NDANI YA GOLF CLUB 2 / 3 / 2013

J,mosi hii ya tarehe 2 mwezi wa 3 pale GOLF CLUB ni Disco na Uzinduzi wa video ya SMILE nyimbo NICHEKECHE It so amaizing unakaribishwa sana Disco ltaanza mapema sana saa moja jioni ni wale wale BOMBA DJz na COW BOYS DJz  kiingilio ni elfu 3 kwa wanaume na elfu 2 kwa waschana. Karibu sana




MUDA- 7:OOpm 

SEHEM- GOLF CLUB MAISARA

KINGILIO- 3000 w/ume  - 2000 -w/wake

No comments:

Post a Comment