 |
WEMA SEPETU |
Taarifa kutoka ofisi za DSTV jijini Dar es Salaam zinadai kuwa aliyekuwa
Miss Tanzania mwaka 2006 na muigizaji wa filamu Wema Sepetu alikuwa
katika ofisi hizo kuchukua fomu za kushiriki shindano la Big Brother
Africa mwaka huu.
Wema ni miongoni mwa mastaa nchini wanaopendekezwa zaidi kuiwakilisha
Tanzania mwaka huu. Mwingine anayependekezwa zaidi ni Khaleed Mohamed
aka TID
 |
T.I.D |
No comments:
Post a Comment