31 may 2013 siku ya leo Ijumaa kuanzia saa 1 usiku hakuna matata band watashusha kal
31
may 2013 siku ya leo Ijumaa kuanzia saa 1 usiku hakuna matata band
watashusha kali za pwani zaidi mduara arabic,india music ata copy za
mbele za rnb na mikato kibao mipyaa Coconut beach chukwani kwenye usiku
wa watu wa pwani kwa kiingilio cha shilingi 3000 tu usiikose wadada wa
town na mabrother wa town itakuhusu kumbuka bond entertainment na bomba
dj iko kwa ajili yako
No comments:
Post a Comment