![]() |
Huddah Monroe, socialite na Boss Lady akiwakilisha properly na bendera ya Kenya |
![]() |
Mwakilishi wa Tanzania Fedha Kessy akiwasalimu mashabiki wake kwa kuwapungia bendera ya Tanzania. Kulia ni mtangazaji wa Shindano la Big Brother The Chase 2013 Ik. |
![]() |
Mtangazaji IK akifanya mahojiano na Patna wa Mwakilishi wa Tanzania Mshiriki kutoka Ghana Elikem |
![]() |
Mtangazaji IK akimtambulisha rasmi mshiriki kutoka Tanzania Fedha Kessy kwa Patna wake Mshiriki kutoka Ghana Elikem wakati wa uzinduzi |
![]() |
Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka nchini Kenya Stella Mwangi a.k.a STL akitoa burudani huku akipewa sapoti na Manager wake. |
![]() |
Mwakilishi wa Tanzania Nando akihojiwa na Mtangazaji wa kipindi hicho Ik wakati wa uzinduzi wa show hiyo. Kushoto patna wa Nando Mshiriki kutoka Namibia Cleo. |
No comments:
Post a Comment