Daz baba kawa chizi moro...afande sele hathibitisha
“Hivi juzi juzi Daz alikuja kwangu usiku,akapiga kelele sana ile kuamka nikamkuta Daz akiwa mchafu na akiongea maneno ambayo hayaelewiki.baadaye alitaka kumfanyia tendo baya mfanyakazi wangu wangu wa kike lakini hakufanikiwa. Pia nimekuwa nikisikia kuwa mara nyingi alikuwa akionekana pale stand akizurura zurua na kufanya mambo kama kichaa kabisa. Hali ya Daz ni mbaya sana nimejaribu kumuweka sawa lakini nimeshindwa labda wakamfanyie matambiko ya kwao kwa sababu baba na mama yake walifariki na walikuwa hawaelewani labda kuna matatizo ya kifamilia.”
No comments:
Post a Comment