HII NDIO GARI PEKEE INAYOTEMBEA NA KUPAA DUNIANI, ICHEKI HAPA
Kampuni ya Terrafugia
kwa mara ya kwanza dunia imetengeneza gari yenye uwezo wa kupaa. Gari
hiyo ina mabawa ambayo itaisaidai wakati wa kupaa na kutua
pia ina betri yenye uwezo wa kuchajiwa.
No comments:
Post a Comment