MHESHIMIWA SUGU ASAKWA NA POLISI KWA KUWAKASHFU WALINZI WA BUNGE
Taarifa kutoka Dodoma zinadai kuwa kuna
Askari mmoja ambaye ni miongoni mwa walinzi wa Bunge ameenda kufungua
faili Polisi Dodoma na kusema kuwa ametishiwa kupigwa na Mbunge Sugu... Baada ya kufungua Jalada hilo polisi
wamechukua Difenda 6 na wameingia mitaani kumtafuta ili awekwe ndani
mpaka kesho ndio afikishwe mahakamani asubuhi.
No comments:
Post a Comment