Pages - Menu

Monday, September 9, 2013

Mwigizaji wa Bongo movie Zuhura Maftah (Malisa) afariki dunia

Kwa mujibu wa mtandao wa bongomovies.com, mwigizaji wa bongo movies Zuhura Maftah maarufu kama Malisa (Pichani) amefariki dunia.
Bado hakuna taarifa kuhusu chanzo cha kifo chake. Zifuatazo ni baadhi ya picha za marehemu


No comments:

Post a Comment