Pages - Menu

Monday, September 2, 2013

UZINDUZI RASMI WA VIDEO YA JUX YA UZURI WAKO NA SIKUKU YA KUZALIWA KWAKE NDANI YA BILCANAS

Msanii wa muziki wa kizazi kipya (JUX) aliye zaliwa tar: 01-09-19…. Amezindua video yake mpya inayo fahamika kwa jina UZURI WAKO pia kulikuwa na shangwe nyingi sana kwake sababu ilikua ni siku yake ya kuzaliwa pia jana jumaapili ya tar: 01-09-2013.
Alikuwa na marafiki wa aina zote na mashabiki ,Siku iyo hakuwa peke ake alikuwa na wasanii wenzake kama DULL SYKS,KAMIKAZE,QUICK RAKA,SARMIL,MIRROR,V-MONEY(vannesa mdee)RICH MAVOKO na show nzima ilishereheshwa na mtu mzima B-DAZEN,B12-B-TWANGALA toka XXL ya clouds fm.

No comments:

Post a Comment