Matokeo yake sasa wanaume walio na tatizo hili huamua kutokuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake wanao fahamiana nao, na badala yake huamua kuanzisha tabia ya kuwa wanajamiiana na wanawake wanaouza miili yao ama kujihusisha na upigaji punyeto n.k.
NINI CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO.
1. Kupiga Punyeto kwa muda mrefu..
Hali hii husababisha kusinyaa kwa uume na hatimaye uume kurudi ndani.
2. Kuugua chango la uzazi.
3. Magonjwa ya utotoni.
4. Kutahiriwa mapema
5. Kurithi kutoka kwa wazazi :Wanaume wengine wana maumbile madogo kwa sababu wamerithi maumbile hayo kutoka kwa wazazi wao.
No comments:
Post a Comment