Picha, Dar Next Handsome, Mashindano Ya Vijana Watanashati Dar Es Salaam
Dar Next Handsome ni Mashindano Ya Vijana Watanashati zaidi Dar Es
Salaam na Mshindi anakwenda Lagos Nigeria kushindana Kwenye Mr Africa.
Vijana hawa sita walikuja Fnl kuzungumzia Mashindano Haya.
No comments:
Post a Comment