Pages - Menu

Wednesday, October 9, 2013

Pictures- Kinyozi Maarufu Anaye Nyoa Nywele Za Mastaa Wa Soka Nchini England, Yupo Bale, Rooney, Na Wengine

 Daniel amekuwa kinyozi wa Bale toka siku ya kwanza ameanza kuichezea Tottenham. Jamaa ni kinyozi anaye aminika sana na mastaa wa soka nchini Uingereza kwa ujuzi na ubunifu wake wa mitindo tofauti ya nywele. Pia anauwezo wa kusikiliza na kufanya anacho taka mteja wake bila tatizo.
Picha Zingine Zipo Hapa


Daniel Akiwa na Mchezaji Wa Man Untd Rooney.
Daniel Akiwa na Mchezaji Wa Man Untd Rio Ferdinand.
Hapa Daniel alikuwa amemaliza kumnyoa Mario Balotelli
Ashley Young
Jermain Defoe

No comments:

Post a Comment