Pages - Menu

Monday, November 25, 2013

FURSA....! FURSA....! FURSA....! FURSA.....!

Studio ya ‪#‎UPRISE_MUSIC‬ Inaatoa nafasi kwa wasanii wa kike toka kisiwani zanzibar
ku Records nyimbo moja bure kwenye studio hiyo unachotakiwa kufanya ni kutuma nyimbo yako kamili Au Demo kwenye email Zifuatazo


Producerfraga@gmail.com
Chiwilejr@gmail.com
kwa maelezo zaidi piga simu namba

0712084660 Or 0712070822
kumbuka hii ni kwa wasanii wa kike toka zanzibar tu

Post by Chiwileinc.blogspot

No comments:

Post a Comment