Pictures Na Info,Berry Black Ndani Ya C 9 Records.
Baada
ya kutoa wimbo na video ya hit yake mpya Ft Ally Kiba iliyoitwa Ishara
Zangu, Berry Black Yupo Tayari kutoa na kufanya kazi zingine. Berry
amefanya interview na chiwileinc na kusema baada ya ukimya wa muda
mrefu sasa ni wakati wa kazi baada ya kazi. Atatoa nyimbo kila baada ya
muda mfupi. Ameanza kazi na C 9 na pia ata fanya kazi na producer
wengine. Kwa sasa anamalizia wimbo wake aliomshirikisha Star wa
Kinyulinyuli Sameer. Wimbo utaitwa Simchezei.
No comments:
Post a Comment