Jana ilikua fanali ya michuano y7a mpira wa miguu iliyokua chini ya usimamizi wa kituo cha radio cha bomba fm zanzibar ambapo washindi walipata mipira na jezi
 |
mgeni rasmin Baerry black akiweka kombe la mshindi wa kwanza sawa |
 |
meza ya mgeni rasmin Berry black sultan king na wadua wengine wakifatilia mechi |
No comments:
Post a Comment