SMILE WA KICHEF CHEF ALALAMIKIA STUDIO YA ZENJI RECORDS KUVUJISHA NGOMA YAKE RUHUSA YA MANAGEMANT YAKE
Kuvujisha
wimbo wangu bila ruhusa ya usimamizi wngu hakunifanyi mm kushuka
kimziki , naombA munisIkilize kwa
makini shabiki zangu sijatoa wimbo wa
aina yoyote kwa muda huu tafadhali usidanganyike, kuna baadhi ya watu
lengo lao kunishusha kimziki lakini watashindwa kwa uwezo wa mungu.
No comments:
Post a Comment