Pages - Menu

Monday, December 23, 2013

THANKS GIVING YA DIAMOND ALIVYOSHARE CHAKULA CHA PAMOJA NA WATOTO WA KITUO CHA AL-MADINA-TANDALE

Jana nilipata fursa nyingine ya kushare chakula cha
 mchana na ndugu zangu, Wadogo zangu walio
 katika kituo cha Al_Madina kilichopo
Tandale yemen... 
kesho Jumanne ntakuwa kigogo 
katika kituo cha #NewLife kilichopo kigogo je unataka 
kuungana nami??? wasiliana na namba 
hii +255654019091 #PamojaWeCan #ThanksGiving

  

No comments:

Post a Comment