Umekwisha wahi
kufikiria ndege 'zikichoka' na 'kustaafu kazi' zinapelekwa wapi? Haya ni
maeneo kadhaa ambapo utakuta "makaburi ya ndege".
1. Newbury,
Ohio- Marekani 2. Jangwa la Mojave, California- Marekani, 3. The
Boneyard, Arizona - Marekani, 4. Pinal Airpark, Arizona-Marekani, 5.
Aviation Warehouse, California- Marekani, 6. Khodynka Aerodrome, Urusi,
7. Chernobyl, Ukraine.
No comments:
Post a Comment