Baadhi ya walimu nchini Kenya wamezikashifu miungano ya walimu nchini
humo kwa kuandaa migomo zisizozaa matunda. Hii ni baada ya tume ya
kutetea haki za walimu, KNUT kusitisha kwa siku 90 mgomo wa walimu
ambayo imedumu kwa mwezi moja sasa. Aidha walimu hao wameapa kutoshiriki
migomo zingine zitakazoandaliwa na miungano wao katika siku za usoni.
Walimu wa Kenya walianza mgomo Septemba 7, 2015 wakidai nyongeza ya
asilimia 50-60 baada ya mahakama kuagiza walipwe nyongeza hiyo.
No comments:
Post a Comment