NATAKA KULEWA YA DIAMOND YA MUUMIZA SMILE WA KICHEFU CHEFU

Mkali smille wa kiche chefu toka kisiwani zanzibar amepatwa na mshangao baada ya kusikia ngoma ya diamond Nataka kulewa akiongea na chiwileinc emedai kua ameandika ngoma inayo kwenda kwa jina la nataka kulewa ikiwa ni muendelezo wa ngoma zake zinazo fanya poa hapa zanzibar ila ameshindwa kwenda studio baada ya kusikia ngoma ya diamond inayoitwa nataka kulewa ambapo amedai inafanana kila kwa asilimia kubwa na ngoma yake,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,


msikilize Ismail hapa,,,

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates