Pictures


Majaji wa shindano hilo Salama J,Madam Ritha na Master Jay
Moja ya wasanii walioperfom Barnaba akifanya yake kwenye stage
Mtangazaji Lotus wa Nirvana EATV akimuhoji msanii Ommy Dimpozi
Akimuhoji Ben Pol
Ditto akifanya yake
Linah na Amini wakifanya yao
Ommy Dimpoz naye alifanya yake
Madam Ritha akizungumza
 Madam Ritha akiwa amemkumbatia mshindi wa EBSS 2012 Walter Chilambo
Na huyo ndo mshindi wa EBSS 2012 Walter Chilambo.Shindalo la EBSS 'FUNGUKA' mwaka huu lilikuwa limedhaminiwa na Kampuni ya mawasiliano ya Zantel.Hongera kwa Walter


 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates