P.Diddy anena kwa vitendo baada ya ajali ya gari , apiga misele kwa miguu kwenye mitaa ya Hollywood.


CEO wa Bad Boy records P. Diddy ameamua kutumia vitendo kuweka msisitizo katika taarifa kuhusu maendeleo ya afya yake siku tatu baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya Los Angeles.
Fans wa Sean Combs Diddy wa Dirty Money inaonekana wamepata majibu kwa vitendo baada ya kali huyo kuamua kupiga misele kwa mguu katika mitaa ya Hollywood huku akionekana yuko fit kiafya na anatembea kwa swag kama kawaida yake.
Hii ni baada ya kuwashukuru fans wake na utawala wa juu wa Los Angeles kwa sapoti yao kupitia account yake ya twitter siku moja kabla ya kuonekana mitaani akipiga misele.
“The only reason I’m still here is through Gods Grace!!! Not trying to be dramatic just being Real! God Bless All! Let’s go!,” alitweet October 26, na akaongeza “ Thank you for all you prayers support and Calls! Thank you for caring about a brother): I means a lot. Love yall!!! Let’s go!!!”.
Taarifa iliyotolewa na watu wa karibu wa Sean Combs P. Diddy baada ya ajali hiyo ya gari ilisema rapper huyo alipata injuries shingoni, mbavuni na sehemu nyingine na alikuwa anapata matibabu nyumbani kwake akiwa chini ya uangalizi wa daktari wake binafsi.
Inapendeza sana kumuona jamaa anapiga misele kwa miguu coz fans wamepata majibu kwa vitendo kuwa yuko poa na mikandamizo itaendelea kupitia Bad Boys Records.
God is Good, Combs ‘Let’s go!!!’

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates