Picha: Arnold Kayanda wa Clouds FM afunga ndoa.

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, mtangazaji maarufu wa Kipindi cha Jahazi kinachoruka kupitia Clouds FM Arnold Kayanda, Jumamosi iliyopita October 27, 2012 alifungua ukurasa mpya katika maisha yake baada ya kufunga ndoa na bibie Anitha, ndoa iliyofungwa katika kanisa la St. Joseph Dar es salaam, na baadae sherehe ilifuata Karimjee Hall.

Jionee picha kumi za tukio hilo.








Picha kwa hisani ya millardayo.com

Hongera sana Arnold Kayanda, chiwileinc nawatakia maisha ya ndoa yenye furaha na Amani wewe na mkeo Anitha.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates