Home
»Unlabelled
» Check Walter Chilambo alivyo chukua ml.50 BSS
Check Walter Chilambo alivyo chukua ml.50 BSS
By
Unknown
•
6:37 AM
•
•
 |
Walter baada ya kukabidhiwa zawadi ya Milioni 50 alizojishindia |
Usiku wa kuamkia leo
Jumamosi Nov 10, 2012 ndio ilifanyika fainali ya shindano kubwa la
kutafuta vipaji vya kuimba Tanzania Epic Bongo Star Search (EBSS),
ambapo lilimuibua mshindi wa mwaka huu ambae ni Walter Chilambo kutoka
Dar es salaam aliyejinyakulia zawadi ya shilingi Million 50 ya
kitanzania iliyokuwa imeandaliwa kwa mshindi.
Shindano la mwaka huu
lilionekana kuwa na ushindani mkubwa kutokana na uwezo mkubwa waliokuwa
nao washiriki hasa waliofanikiwa kuingia hadi hatua ya 5 bora.
Walter aliibuka mshindi baada ya kufanikiwa kuingia 2 bora na bibie Salma kutoka Zanzibar alietoa ushindani wa hali ya juu.
SIMILAR ARTICLES
Post a Comment